TANZANITE KWARAA YANG’ARA: Meneja wa Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo mkoani Manyara, Jackson Mwendwa amesema uwanja wote umefungwa viti, zoezi ambalo limefanyika kwa siku 13.
Meneja huyo amesema baada ya kukamilika kufunga viti, hatua inayofuata ni kuongeza majukwaa.
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#TanzaniteKwaraa