LALIGA leo Ijumaa
Saa 4:00 usiku, Real Sociedad watakuwa uwanja wa nyumbani Anoeta wakiwakaribisha Sevilla.
Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports4HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama LALIGA mbashara kupitia AzamSports4HD mwezi mzima.
#Azamtvsports #Laliga
