SERIE A leo Ijumaa
Saa 3:45 usiku, AC Milan watakuwa nyumbani dimba la San Siro wakiwakaribisha PISA.
AC Milan wanaingia katika mchezo huu wakiwa wanaongoza msimamo huku PISA wakiwa nafasi ya mwisho, ni mechi inayowakutanisha vinara na wanaoburuza mkia.
Je, mambo yatakuaje?….
Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports3HD…
@seriea
