YANGA SC | Inawezekana wapenzi wa Yanga wakawa wanafurahia ubunifu wa vionjo vya timu yao kama ‘Aviola’ na ‘My Wetu’ hususani inapokuja suala la watani wao, lakini unajua vinampa wakati mgumu kiasi gani Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe?
Msikilize akielezea anavyopitia wakati mgumu, nyakati nyingine hata kutoelewana na baba yake mzazi.
Imeandaliwa na @jairomtitu3
#Yanga #Kamwe