“Haikuwa safari rahisi… ilikuwa ni miongoni mwa maamuzi yangu magumu kwenda Yanga…” Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akielezea wakati aliopitia alipofanya maamuzi ya kwenda kuwa Msemaji wa klabu hiyo.
Imeandaliwa na @jairomtitu3
#Yanga #Kamwe