#CAFCC “…Azam wamestahili kwenda makundi”

#CAFCC “…Azam wamestahili kwenda makundi”

Kocha wa KMKM, Hababuu Ali anasema kilichomponza leo ni mpango wake wa kutaka kushambulia zaidi huku akijivunia hatua waliyofikia msimu huu kwenye mashindano hayo…

Naye Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge hana kingine zaidi ya furaha ya kutimiza malengo na kucheza soka safi akisema “..tumeshinda na tumecheza vizuri, kila mtu amefurahi”

FT: Azam FC 7-0 KMKM SC (Agg: 9-0).

#CAFCC #CAFConfederationCup #CCC#KombeLaShirikishoAfrika #AzamFC #KMKMSC #AzamKMKM

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *