Jumamosi hii Singida BS watakuwa dimba la Azam Complex wakiwakaribisha Flambeau Du Centre ya Burundi, mechi ya marudiano Kombe la Shirikisho Afrika.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports2HD.
Singida BS wanahitaji ushindi ama sare ya bila magoli ili kutinga hatua ya makundi ya michuano hii.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.
#CAFCC #Azamtvsports
