WAMETUA…!!!
Kikosi cha Nsingizini Hotspurs kimewasili Dar es Salaam usiku huu tayari kuwavaa Simba katika mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika, utakaopigwa Jumapili kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Hawa hapa wakitua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
#NsingiziniHotspurs #CAFCL