SINGIDA BS vs FLAMBEAU: “…hakuna kiingilio lakini siyo bure”

SINGIDA BS vs FLAMBEAU: “…hakuna kiingilio lakini siyo bure”

Msemaji wa Singida Black Stars, Hussein Masanza anaeleza kuhusu utaratibu wa kuingia Dimba la Azam Complex, kwa ajili ya kuiunga mkono timu hiyo dhidi ya Flambeau ya Burundi, mchezo wa kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi, Kombe la Shirikisho Afrika.

Mechi ni saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports2HD

#SingidaBlackStars #FlambeauDuCentre

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *