KUTOKA BENJAMIN MKAPA: Shabiki wa Azam FC aibukia Benjamin Mkapa akiifuata mechi ya Yanga dhidi ya Silver Strikers

KUTOKA BENJAMIN MKAPA: Shabiki wa Azam FC aibukia Benjamin Mkapa akiifuata mechi ya Yanga dhidi ya Silver Strikers.

Shabiki huyo ambaye jina lake ni Azam Awadh Kavenda, anasema kama Yanga kesho watakunywa supu, na yeye atakwenda kupiga supu.

Shabiki wa Simba asema anataka kuiona Yanga ikitolewa.

Leo Yanga itacheza mechi ya mkondo wa pili dhidi ya Silver Strikers.

Mechi ya leo ni saa 11:00 jioni LIVE #AzamSports3HD

#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika #YangaSC #SilverStrikers

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *