KUTOKA BENJAMIN MKAPA: Mashabiki wa Yanga SC wadamkia katika dimba la Benjamin Mkapa, wasimulia maisha yalivyokuwa mitaani kwao ...

KUTOKA BENJAMIN MKAPA: Mashabiki wa Yanga SC wadamkia katika dimba la Benjamin Mkapa, wasimulia maisha yalivyokuwa mitaani kwao baada ya kufungwa goli 1-0 na Silver Strikers nchini Malawi.

Mashabiki hao wajitamba kuwa matajiri wao wana pesa na ndio maana leo wanaingia bure uwanjani kutazama mechi.

Mechi ya leo ni saa 11:00 jioni LIVE #AzamSports3HD

#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika #YangaSC #SilverStrikers

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *