Bundesliga leo Jumamosi
Saa 1:30 usiku mechi mbili kupigwa.
Borussia Monchengladbach kuwakaribisha mabingwa watetezi Bayern Munich.
Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports2HD.
Borussia Dortmund baada ya kupasuka kwenye Der Klassiker watakuwa nyumbani Signal Iduna Park wakiwakaribisha FC Koln.
Je, kumaliza hasira kwa Koln ama tabu kuendelea
Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports3HD.
#Bundesliga #Azamtvsports
