KURASA ZA MWISHO: Wachambuzi wa soka ambao pia wahariri wa magazeti Phillip Nkini na @charlesabel24 watoa mitazamo yao kuhusu me...

KURASA ZA MWISHO: Wachambuzi wa soka ambao pia wahariri wa magazeti Phillip Nkini na @charlesabel24 watoa mitazamo yao kuhusu mechi ya jana ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kati ya Azam FC dhidi ya KMKM ambapo mchezo ulitamatika kwa wenyeji kuibuka na ushindi wa magoli 7-0 na kutinga hatua ya makundi kwa jumla ya magoli 9-0.

Kwa upande mwingine wachambuzi hao wamesema kuwa KMKM imefanya vizuri katika michuano hiyo kulinga na malengo iliyojiwekea.

Imeandikwa na @davidkyamani
Mhariri: @allymufti_tz

#KurasaZaMwisho #CAFCC #KombeLShirikishoAfrika

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *