Baada ya kufuzu hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika, AzamFC na Singida BS, Alhamis hii wanakutana katika NBC Premier League.
AzamFC watakuwa nyumbani Azam Complex wakiwaalika Singida BS katika mechi ya kiporo.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Je, nani kukila kiporo hiki?
Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.
#NBCPL #AzamFC #SingidaBS #Azamtvsports
