Meneja wa kituo cha uzalishaji umeme cha mradi wa Rusumo, Mhandisi Patrick Lwesya amesema zaidi ya tani 10 za magugu maji yamedhibitiwa kwa kuvunwa katika mradi huo na kutumika kwa matumizi mengine ikiwemo chakula cha mifugo.
Hata hivyo Mhandisi Lwesya ametahadharisha kuwa iwapo magugumaji hayo yataendelea yanaweza kusababisha uharibifu wa mitambo na kuathiri mradi huo unaohudumia nchi za Tanzania, Burundi na Rwanda.
Ester Sumira ana taarifa zaidi.
Mhariri @moseskwindi