Watu zaidi ya  milioni 25.3 wametajwa kuhudhuria mikutano ya kampeni za uchaguzi za chama cha mapinduzi  huku mgombea wa urais k…Watu zaidi ya milioni 25.3 wametajwa kuhudhuria mikutano ya kampeni za uchaguzi za chama cha mapinduzi huku mgombea wa urais k…

Watu zaidi ya milioni 25.3 wametajwa kuhudhuria mikutano ya kampeni za uchaguzi za chama cha mapinduzi huku mgombea wa urais kupitia chama hicho, Daktari Samia Suluhu Hassan akifuatiliwa zaidi ya mara milioni 164.9 kwa njia ya mtandao.

Katibu itikadi,uenezi na mafunzo wa chama hicho Kenani Kihongozi wakati akizungumza na makundi mbalimbali mkoani Mwanza, amebainisha zaidi ya watu milioni 57.1 wamefuatilia mikutano kupitia vyombo vya Habari na mitandao ya kijamii.

Kihongosi amesema hii ni hatua kubwa kwa chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu huku akihimiza wananchi kutokubali kushawishika na watu walio nje ya Tanzania kufanya maandamano

#startvupdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *