SIMBA SC vs NSINGIZINI | Sikia jinsi @gharib_mzinga23 alivyoifungua mechi iliyokamilisha historia kwa Tanzania kuingiza timu nne...

SIMBA SC vs NSINGIZINI | Sikia jinsi @gharib_mzinga23 alivyoifungua mechi iliyokamilisha historia kwa Tanzania kuingiza timu nne kwenye hatua ya makundi ya michuano ya CAF.

Mechi imepigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, na kumalizika kwa suluhu, Simba ikifuzu kwa jumla ya magoli 3-0.

#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika #SimbaSC #NsingiziniHotspurs

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *