NBC Premier League Jumanne hii
Saa 10:00 jioni, Yanga SC watakuwa uwanja wa KMC Complex wakiwakaribisha Mtibwa Sugar kutoka Morogoro.
Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama NBCPL.
#NBCPL #Azamtvsports
