CAF Women’s Champions League: JKT Queens ya Tanzania imepangwa kundi ‘B’ ikiwa na Gaborone United kutoka Botswana, Asec Mimosas ...

CAF Women’s Champions League: JKT Queens ya Tanzania imepangwa kundi ‘B’ ikiwa na Gaborone United kutoka Botswana, Asec Mimosas kutoka Ivory Coast na TP Mazembe kutoka DR Congo.

Kundi “A” zipo FC Masar ya Misri, AS FAR kutoka Morocco, 15 De Agosto kutoka Guinea ya Ikweta na USFAS ya Mali.

Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa wanawake imefanyika leo nchini Misri.

#CAFWomensChampionsLeague

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *