KUTOKA ETHIOPIA: “Tunaitamani hiyo nafasi ya kwenda kucheza WAFCON” 
Maneno ya Mkuu wa Msafara wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania (Twiga Stars) Debora Ernest Mkemwa akizungumzia safari yao kutoka Tanzania kwenda Ethiopia na mapokezi waliyoyapata.
Twiga Stars ipo Ethiopia kucheza mchezo wa marudiano wa Kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya wenyeji wao taifa la Ethiopia utakaochezwa Oktoba 28, 2025.
Wenzetu Veronica Manywele na @kalugiratimzoo wapo pamoja na kikosi hicho.
#TwigaStars
