Viongozi wa Mkoa wa Tabora, wamefanya matemebezi ya amani ili kuhamasisha upigaji kura wa amani keshokutwa Oktoba 29, 2025Viongozi wa Mkoa wa Tabora, wamefanya matemebezi ya amani ili kuhamasisha upigaji kura wa amani keshokutwa Oktoba 29, 2025

Viongozi wa Mkoa wa Tabora, wamefanya matemebezi ya amani ili kuhamasisha upigaji kura wa amani keshokutwa Oktoba 29, 2025.

Viongozi hao wamewaomba wananchi kujitokeza kwa amani na utulivu kushiriki uchaguzi mkuu huo.

Matembezi hayo yaliyofanyika jana yameudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha pamoja na wakuu wa wilaya za Tabora Mjini, Upendo Wella na Urambo, Khamis Mkanachi.

Akizungumza na wananachi walioshiriki, mkuu wa huyo wa mkoa amewataka kuhakikisha wanatumia haki yao ya msingi ya kupiga kura kuchagua kiongozi wanayemtaka na kuepuka uvunjifu wa amani.

#StarTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *