#NBCPL TRA United yaendelea na tizi la nguvu kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Simba SC, utakaopigwa Alhamisi Oktoba 30 kwenye Di...

#NBCPL TRA United yaendelea na tizi la nguvu kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Simba SC, utakaopigwa Alhamisi Oktoba 30 kwenye Dimba la Ali Hassan Mwinyi, Tabora.

Kocha Msaidizi wa TRA United, amesema wataingia kwenye mchezo huo kwa kuwaheshimu Simba, lengo likiwa ni kutafuta ushindi, huku akiwapoza mashabiki wao kuhusu mwenendo wa timu na kusema “….wasipaniki”

Hii hapa taarifa ya Juma Kapipi kutoka Tabora…

#TRAUnited #SimbaSC #NBCPremierLeague

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *