YANGA SC vs MTIBWA SUGAR | Mchambuzi wa soka @abissay_stephen ‘awang’ata’ sikio Mtibwa Sugar kuhusu namna bora ya kuwazuia Yanga SC katika mchezo wa leo wa NBC Premier League.
Abissay amewataja wachezaji wa Mtibwa ambao kama watatumika, wanaweza kuisaidia timu kupata matokeo.
Mtanange wenyewe ni Saa 10:00 jioni, LIVE #AzamSports1HD.
Imeandaliwa na @jairomtitu3
(Mhariri na @allymufti_tz)
#NBCPL #Azamtvsports #YangaSC #MtibwaSugar #YangaMtibwa