VITASA | “Boxing sio tu ni mazoezi, bali ni ajira kwa vijana” Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa #AzamMedia @tkorosso ameupongeza Ubalozi wa Ufaransa kupitia kwa balozi wake, Anne-Sophie Avé kwa kutoa vifaa vya michezo kwa mabondia wanawake akisema kitendo hiko kinasaidia kukuza na kuhamasisa mchezo wa ngumi kwa wanawake.
Korosso pia ameipongeza Azam Media kwa mchango wake katika mchezo wa kwa kurusha mapambano kupitia chaneli zake na kutoa fursa kwa vijana kwa kufungua milango na kufanya kuwa sehemu ya ajira.
Imeandaliwa na @jairomtitu3
Mhariri na @allymufti_tz
#AzamSports #Ngumi #TPBRC