#SportPesaLeague Magoli yote manne… Sofapaka FC wakikataa unyonge na kuchomoa zote mbili walizokuwa wametanguliwa…

#SportPesaLeague Magoli yote manne… Sofapaka FC wakikataa unyonge na kuchomoa zote mbili walizokuwa wametanguliwa…..

Mara Sugar wamepata magoli yao kupitia kwa David Owino na Timothy Ndayala huku Sofapaka wakichomoa kupitia kwa Stanley Lugalya na Joseph Gulopa…

Je, hilo la kwanza kabisa unalifananisha na la nani??

FT: Sofapaka FC 2-2 Mara Sugar

Burudani ilikuwa LIVE #AzamSpors3HD

#FKFPremierLeague #LigiKuuKenya #SportPesaLeague #SofapakaFC #MaraSugar #SofapakaMaraSugar

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *