MAKALA MAALUMU KUHUSU AZAM FC | Isikie makala maalum inayoelezea safari ya matumaini ya Azam FC ya kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) ikiwa ni ndoto iliyootwa kwa muda mrefu.
Mwandishi wa makala hii ni #mguuwadhahabu @sharif_bayona
Msimulizi @ruqaiyambugita
Imeandaliwa na @sharif_bayona
✍@jairomtitu3
#AzamFC