KARIA ATAKA KLABU ZA TANZANIA KUONDOA HOFU YA UKATA: “Timu yoyote ya Tanzania isiogope kupata zile nafasi nne za juu ili iweze k...

KARIA ATAKA KLABU ZA TANZANIA KUONDOA HOFU YA UKATA: “Timu yoyote ya Tanzania isiogope kupata zile nafasi nne za juu ili iweze kuwakilisha nchi”
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema imekuwa ni furaha kwake na Tanzania kwa ujumla kuziona klabu nne zikiingia hatua ya makundi ya michuano ya CAF.

Rais KarIA anasema jambo hilo la timu nne kuingia hatua ya makundi, aliliona mapema sana kutokana na uwezo wake wa kuufahamu mpira wa miguu na ametoa wito kwa klabu za Tanzania kutokuwa na hofu ya kushika nafasi nne za juu kwenye ligi wakihofia changamoto za kifedha.

Rais Karia amefanya mahojiano maalumu na @allymufti_tz

#RaisKaria #TFF #AzamTV

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *