TWIGA STARS vs ETHIOPIA | Kikosi Cha Timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars, kikiingia kwenye dimba la Taifa Dire Dawa kupasha mi...

TWIGA STARS vs ETHIOPIA | Kikosi Cha Timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars, kikiingia kwenye dimba la Taifa Dire Dawa kupasha misuli kabla ya kuanza mechi ya marudiano ya kufuzu #WAFCON2026 dhidi ya wenyeji wao Ethiopia.

Mechi ni saa saa 9:00 alasiri

#AzamSports #Wafcon #TwigaStars

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *