Serikali kupitia mpango wa mageuzi ya kilimo imelenga kumnufaisha mkulima mmoja mmoja na kwa kubadili kilimo cha mazoea kuwa kil…Serikali kupitia mpango wa mageuzi ya kilimo imelenga kumnufaisha mkulima mmoja mmoja na kwa kubadili kilimo cha mazoea kuwa kil…

Serikali kupitia mpango wa mageuzi ya kilimo imelenga kumnufaisha mkulima mmoja mmoja na kwa kubadili kilimo cha mazoea kuwa kilimo Bishara

Ofisi ya mageuzi ya Kilimo nchini, ATO imeendelea kukazia umuhimu wa sekta hiyo katika kuifikisha Tanzania Uchumi wa kati ifikapo mwaka 2050, hatua itakayofanikishwa endapo wataalamu wa kilimo watauelewa na kuutekeleza kwa ufanisi mpango wa mageuzi ya kilimo wa 2050

Mkurugenzi wa ATO Bi Elizabeth Misokia ameeleza kuwa mpango huo ulianzishwa kwa kuzingatia mahitaji halisi na umuhimu wa sekta ya kilimo katika kufanikisha malengo ya dira ya taifa ya m 2025 hadi 2050.

#starTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *