#KufuzuWAFCON2026 “…sasa tunaanza kujenga taswira ya kushinda nje ya nyumbani….WAFCON again”

#KufuzuWAFCON2026 “…sasa tunaanza kujenga taswira ya kushinda nje ya nyumbani….WAFCON again”

Wasikie Kocha wa Twiga Stars Bakari Shime, nahodha wa kikosi hicho Opah Clement na shabiki anayeishi nchini Ethiopia baada ya Tanzania kufuzu WAFCON 2026 kwa kuitupa nje Ethiopia.

FT: Ethiopia 0-1 Tanzania (Agg: 0-3)

@kalugiratimzoo anaripoti kutoka Ethiopia

#WAFCONQualifiers #KufuzuWAFCON #WAFCONQ #TwigaStars #Ethiopia #EthiopiaTanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *