Shughuli ya upigaji kura katika uchaguzi mkuu wa Tanzania imekamilika licha ya maandamano ya wafuasi wa upinzani kupinga kufanyika kwa uchaguzi huo kushudiwa katika miji tofauti ya Tanzania bara.

Huko visiwani Zanzibar shughuli ya kuhesabu kura imeanza baada ya vituo vya kupiga kura kufungwa saa kumi jioni,

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Thabit Aidarous, amewahakikishia wananchi wa visiwa hivyo kwamba matokeo rasmi ya uchaguzi yatatangazwa rasmi leo jioni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *