Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Marekani Donald Trump amemkaripia waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa shambulizi dhidi ya maafisa wa Hamas nchini Qatar / Joto la kampeni za uchaguzi mkuu nchini Tanzania linaendelea kupanda, huku Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikionekana kutamba kwa kasi, wakati baadhi ya vyama vya upinzani vikiwa bado vinasuasua