#HABARI: Mtiania Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Mfaume Khamis Hassan, akikabidhi fomu za kuomba uteuzi kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi Ofisi za Tume hiyo, Maisara Unguja Zanzibar.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.