#MEZAHURU: Kichaa cha Mbwa. Kwa sasa kuna matukio mengi ya uwepo wa mbwa wenye kichaa. Je unamtambuaje mbwa mwenye kichaa? Madhara yake ni yapi kwa binadamu akikung’ata? Kwa nini kimeitwa kichaa cha mbwa? Zipi hatua za awali za kuchukua za tiba? Je waweza pona? Je Mbwa hawa wanapasa wafanywaje wakigundulika tayari wameathirika? Je kwanza unamgunduaje na pili ukimgundua utoe taarifa wapi ya haraka?