11.09.202511 Septemba 2025 Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia Masjala Kuu ya Dodoma, imetoa uamuzi uliomrejesha Luhaga Mpina kwenye kinyang’anyiro cha urais kupitia chama cha ACT-Wazalendo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba 2025. https://p.dw.com/p/50M5k Post navigation Sudan Kusini kuwarudisha makwao wahamiaji kutoka Marekan Keir Starmer amfuta kazi balozi wa Uingereza Marekani