Araghchi katika mazungumzo na Mufti Mkuu wa Tunisia: Kukomeshwa mauaji ya halaiki huko Gaza kunahitajia ushirikiano wa Umma wa KiislamuAraghchi katika mazungumzo na Mufti Mkuu wa Tunisia: Kukomeshwa mauaji ya halaiki huko Gaza kunahitajia ushirikiano wa Umma wa Kiislamu



Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao na Mufti Mkuu wa Tunisia kwamba: “Kukomeshwa mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni huko Gaza na kuzuia kupanuka kwa wigo wa uchokozi wa utawala huo kunahitajia ushirikiano mkubwa wa Umma wa Kiislamu.”



BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *