Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kupiga kura leo kuamua iwapo litaunga mkono azimio kuhusu suluhisho la mataifa mawili ya Israel na Palestina bila kulihusisha kundi la Hamas+++Mauaji ya raia 71 yaliyofanywa na kundi la waasi wa ADF Jumatatu wiki hii Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yameibua hisia mseto za hofu.