Mji wa Aleppo waendelea kushambuliwa na vikosi vya Serikali ya Syria
Mashambulizi ya anga yaliyofanywa na vikosi vya Serikali kwenye mji wa Aleppo hii leo, yameua watu wanaokadiriwa kufikia 16, limesema shirika moja la waangalizi wa haki za binadamu. Imechapishwa: 05/06/2016…