Waendesha mashitaka Kongo wataka Kabila ahukumiwe kifo
Waendesha mashtaka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewasilisha maombi kutaka Joseph Kabila ahukumiwe adhabu ya kifo kwa makosa ya uhaini katika kesi inayomkabili mahakamani. Jenerali Lucien René Likulia aliyemwakilisha…