🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 24, 2025 – RAIS SAMIA ASISITIZA AMANI
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 24, 2025 – RAIS SAMIA ASISITIZA AMANI
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 24, 2025 – RAIS SAMIA ASISITIZA AMANI
#HABARI: Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, imemteua John Luhende, kuwa mgombea wa Ubunge jimbo la Bukene mkoani Tabora. Luhende ametangazwa kupeperusha bendera hiyo jana Jumamosi Agosti 23,…
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiombewa dua na watoto yatima wa Kituo cha Watoto Yatima Mburahati mara baada ya kuwasili katika ukumbi…
#HABARI: Aliyekuwa Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo amemshukuru Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa imani yake kubwa kwake ikiwemo kumpendekeza na kisha…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KIGOMA : AGOSTI 24, 2025 – UJENZI WA SOKO WADHITI MAGONJWA YA MLIPUKO
#HABARI: Madereva bodaboda jijini Mbeya, wamelalamikia baadhi ya wamiliki wa usafiri huo kuwapa mikataba kandamizi ambayo huwafanya kutotimiza malengo yao. Madereva bodaboda wamebainisha hayo baada ya kupata fursa ya kukopeshwa…
#HABARI: Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imetoa ufafanuzi kuhusu mwenendo wa soko la mbaazi duniani, ikieleza mafanikio na changamoto zinazolikumba zao hilo muhimu kwa wakulima wa…
#NUKUU: “Mungu atapokea maombi yetu, swala zetu, dua zetu, ikiwa nyoyo zetu zina amani, kwasababu ukiomba huna amani hata ile dua utaiweka kinyumenyume………” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…
🔴TAMASHA LA MICHEZO: WENYEJI CHAN 2024 WAUMALIZA MWENDO ..AGOSTI 24, 2025
#VIDEO: Serikali ya Tanzania inatarajia kutumia zaidi ya shilingi bilioni 115, kununua ndege maalumu ya kufanya utafiti wa madini, itakayo wawezesha wachimbaji wadogo hapa nchini kubaini sehemu ambayo madini yapo,…