RSF yatumia droni kushambulia kambi ya wakimbizi El-Fasher
Kundi la wanaharakati wa Sudan limesema shambulio la droni limesababisha mauaji ya watu 30 katika eneo linalohifadhi watu waliokosa makaazi kwenye mji uliozingirwa wa El-Fasher magharibi mwa nchi hiyo.