Hali ya Gaza yazidi kuzorota, watoto walipa walipa gharama
Taarifa za Wizara ya Afya ya Gaza zinaonyesha kuwa zaidi ya watu 62,000 wameuawa tangu Oktoba 2023, wengi wao wakiwa wanawake na watoto. Wakati huo huo, Shirika la GHF, linaloungwa…
Taarifa za Wizara ya Afya ya Gaza zinaonyesha kuwa zaidi ya watu 62,000 wameuawa tangu Oktoba 2023, wengi wao wakiwa wanawake na watoto. Wakati huo huo, Shirika la GHF, linaloungwa…
Mamlaka nchini Ujerumani zimekamilisha uchunguzi wa idadi kubwa zaidi ya kesi za usafirishaji haramu wa binadamu na unyanyasaji mnamo mwaka 2024 tangu matukio hayo yalipoanza kuorodheshwa mnamo mwaka 2000. Maafisa…
Shangwe, nderemo na nyimbo za hamasa zilitawala leo jijini Dar es Salaam wakati Chama cha Mapinduzi (CCM) kilipozindua rasmi kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Uzinduzi huo uliofanyika…
Hatua hiyo ni sehemu ya mkataba unaoiruhusu Rwanda kuwapokea wahamiaji wanaofurushwa Marekani. Serikali ya Rwanda imesema hayo Alhamisi. Msemaji wa serikali ya Rwanda Yolande Makolo, ameliambia shirika la Habari la…
Haya yanafanyika wakati ambapo Urusi imesema bado ina nia ya kufanya mazungumzo ya kusitisha vita vya Ukraine. Baada ya mashambulizi hayo ya Urusi mjini Kyiv, mkuu wa Halmashauri Kuu ya…
Mataifa ya Marekani, Canada, na Kenya ni miongoni mwa nchi saba zinazolitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kukiimarisha Kikosi maalumu cha Usalama cha kimataifa (MSS) kilichopelekwa Haiti kupambana…
Katika miezi michache iliyopita, kamatakamata dhidi ya wanahabari imeshamiri nchini Ethiopia. Hali hii imesababisha hofu na mashaka miongoni mwa jumuiya wanahabari si tu ambao wamo katika nchi hiyo lakini pia…
Wanasiasa wa Iraq wanalenga kufanya mageuzi ya sheria inayowahusu wanamgambo walio nje ya udhibiti wa serikali. Wakosoaji wanasema mageuzi hayo ambayo yanachukuliwa kama kipimo cha uhuru wa Iraq yatazidisha uwepo…
Wakaazi wa jiji la Nairobi sasa wanashusha pumzi baada ya kupata nafasi zaidi mahsusi kuwapumzisha wapendwa wao wanapomaliza safari ya maisha hapa duniani. Serikali ya kaunti ya Nairobi imetenga ekari…
Rwanda na Msumbiji zimetia saini makubaliano ya “amani na usalama” wakati wa ziara ya rais Daniel Chapo mjini Kigali nchini Rwanda. Vikosi vya nchi hizo mbili vinapambana na uasi wa…