Mashambulizi ya Urusi yawaua watu 14 Ukraine
Mashambulizi ya Urusi dhidi ya Ukraine usiku wa kuamkia Alhamisi ndiyo makubwa baada ya wiki kadhaa wakati kukiwa na juhudi zinazoongozwa na Marekani za kuvimaliza vita kati ya Moscow na…
Mashambulizi ya Urusi dhidi ya Ukraine usiku wa kuamkia Alhamisi ndiyo makubwa baada ya wiki kadhaa wakati kukiwa na juhudi zinazoongozwa na Marekani za kuvimaliza vita kati ya Moscow na…
Shirika la upelelezi la Marekani FBI limeanzisha uchunguzi dhidi ya kisa cha mtu aliyekuwa na bunduki kuua watoto wawili kanisani kwa kuwapiga risasi. Kisa hicho kimetokea jana Jumatano katika kanisa…
China imesema kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, atahudhuria na kukagua gwaride kubwa la kijeshi mjini Beijing Septemba 3, wakati wa kumbukumbu ya miaka 80, tangu kumalizika kwa Vita…
Ziara hiyo ni kwa ajili ya kuhudhuria maadhimisho ya miaka 80 tangu kumalizika Vita vya Pili vya Dunia. Hafla hiyo itamkutanisha Kim pamoja na baadhi ya viongozi wa dunia kwa…
Wengine 38 wamejeruhiwa, majengo kadhaa yakiwemo makaazi ya watu pia yameharibiwa ikiwemo katika mji mkuu Kiev. Maafisa wa Ukraine wamesema hayo leo huku rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky akisema shambulizi…
Makubaliano hayo yamesainiwa mnamo wakati mashambulizi ya wanamgambo nchini Msumbiji yameongezeka huku vikosi vya nchi hizo mbili vikipambana dhidi ya uasi wa muda mrefu wa wanamgambo, kaskazini mwa Msumbiji. Rais…
Mkosoaji mkuu wa serikali ya Kenya Boniface Mwangi ametangaza rasmi kwamba atawania urais katika uchaguzi wa mwaka 2027, akieleza azma ya kuleta kile alichokiita “mwanzo mpya.” Mwanaharakati huyo mwenye umri…
Jeshi la Israel limeendeleza operesheni zake za kijeshi katika Mji wa Gaza, huku ikiwa katika shinikizo kubwa la kuimaliza operesheni hiyo iliyodumu kwa takribani miaka miwili, ambako Umoja wa Mataifa…
Katika mkutano wa Jumatano, wanachama wa baraza hilo wameonya kwamba kutumia njaa kama silaha ya kivita ni kinyume na sheria za kimataifa za kiutu. Wameelezea tahadhari na masikitiko yao makubwa…
Akilihutubia taifa kwa njia ya video Jumatano usiku, Zelensky amesema Mkuu wa Ofisi ya Rais wa Ukraine, Andriy Yermak na Katibu wa Baraza la Usalama na Ulinzi wa Taifa, Rustem…