Watu 5 wameuawa kwenye mapigano kati ya Kongo na Wazalendo
Duru za kijeshi zimeeleza kuwa mapigano hayo yalizuka siku ya Jumanne katika mpaka wa Kavimvira, karibu na Uvira. Msemaji wa jeshi la Kongo katika jimbo la Kivu Kusini, Reagan Mbuyi…
Duru za kijeshi zimeeleza kuwa mapigano hayo yalizuka siku ya Jumanne katika mpaka wa Kavimvira, karibu na Uvira. Msemaji wa jeshi la Kongo katika jimbo la Kivu Kusini, Reagan Mbuyi…
Kulingana na barua iliyoonekana na Shirika la Habari la Ufaransa, AFP, nchi hizo zitaunda ”kundi la washirika” kwa ajili ya kusimamia ujumbe huo ambao uliidhinishwa kwa mara ya kwanza na…
Maafisa na viongozi wa eneo hilo wamesema kuwa washambuliaji walikivamia kijiji cha Gamdum Mallam huko Adafka Bukkuyum siku ya Jumamosi, wakiwa wanaendesha pikipiki na kuanza kufyatua hovyo risasi. Mwenyekiti wa…
Najjat Omar28.08.202528 Agosti 2025 Soka la wanawake Zanzibar linakumbwa na changamoto kadhaa zinazozuia ukuaji wake licha ya vipaji vilivyopo visiwani humo. Hali ya uwekezaji duni imeathiri pakubwa ustawi wa wachezaji,…
SK2 / S02S28.08.202528 Agosti 2025 Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya droni na makombora yaliyoulenga mji wa Kyiv ambako takriban watu 14 wameuawa+++Rwanda na Msumbiji zimetia saini makubaliano ya “amani na…
28.08.202528 Agosti 2025 Magari ya umeme nchini Kenya yanaanza kuchukua nafasi kubwa katika sekta ya usafiri huku juhudi za serikali na kampuni binafsi zikichochea mabadiliko kuelekea nishati jadidifu. Hata hivyo…
28.08.202528 Agosti 2025 Jeshi la Israel limeendeleza operesheni zake za kijeshi katika Mji wa Gaza // Wanasiasa wa Iraq wanalenga kufanya mageuzi ya sheria inayowahusu wanamgambo walio nje ya udhibiti…
Ripoti hiyo ya IPC iliyochapishwa Ijumaa iliyopita imesema zaidi ya watu nusu milioni huko Gaza sio tu wamenaswa kwenye baa la njaa, bali pia wanakabiliwa na mateso yatokanayo na kukosa…
Mnamo Jumatatu ya wiki hii, Trump alirudia madai kwamba ameumaliza mzozo huo uliodumu kwa miongo kadhaa huku akiielezea Kongo kama taifa la Afrika lililoko gizani. “Nimevimaliza vita saba, vita vilivyokuwa…
Wizara hiyo ya mambo ya nje ya Uturuki, imesema taarifa ya Netanyahu kuhusu matukio ya mwaka 1915 ni jaribio la kutumia mikasa ya zamani kwa sababu za kisiasa. Wizara hiyo…