Urusi yakataa kupelekwa kwa vikosi vya Ulaya nchini Ukraine
Msemaji wa ikulu ya Kremlin Dmitry Peskov, amesema wana mtazamo mbaya kuhusu mijadala ya uwezekano wa kikosi cha kulinda amani cha Ulaya kama sehemu ya makubaliano ya kumaliza vita vya…
Msemaji wa ikulu ya Kremlin Dmitry Peskov, amesema wana mtazamo mbaya kuhusu mijadala ya uwezekano wa kikosi cha kulinda amani cha Ulaya kama sehemu ya makubaliano ya kumaliza vita vya…
27.08.202527 Agosti 2025 Mtaa wa mabanda wa Kibera ulioko mjini Nairobi umekuwa moja ya nguzo ya ubunifu barani Afrika. Katika mazingira yenye changamoto, wakaazi wa mtaa huo wamekumbatia mradi wa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amenukuliwa na televisheni ya taifa akisema hakuna makubaliano ya mwisho yaliyofikiwa kuhusu mfumo mpya wa ushirkiano na Shirika la Kudhibiti Nguvu…
Mkurugenzi wa mawasiliano wa wizara ya afya wa Chad, Tadjadine Mahamat Allamamine, amesema tangu kisa cha kwanza kuorodheshwa katika kambi ya wakimbizi ya Dougui watu 1,016 wameambukizwa kipindupindu na kwamba…
Kwenye hafla maalum iliyofanyika katika jumba la mikutano la kimataifa la KICC, viongozi wa ngazi ya juu walikusanyika kutathmini hali tangu katiba mpya ya Kenya ya 2010 kuanza kufanya kazi.…
Papa Leo ameutoa wito huo siku ya Jumatano wakati akiwahutubia waumini huko Vatican akitaka kusitishwa kwa vita huko Gaza na kuachiliwa kwa mateka wa Israel ambao bado wamesalia mikononi mwa…
Baada ya Mahakama Kuu ya Gauteng mjini Pretoria kuamua kuwa serikali ya Zambia ina haki ya kuusafirisha mwili wa Rais wa zamani Edgar Lungu hadi nchini mwake, familia yake imejaribu…
Jopo hilo linamjumuisha Profesa Makau Mutua ambaye ndiye mwenyekiti na mratibu mkuu, huku Faith Odhiambo Mony akiwa makamu mwenyekiti. Wengine waliochaguliwa ni pamoja na Kennedy Ogeto, Irungu Houghton, Dkt. Linda…
Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana kwa droni, wizara ya nishati ya Ukraine imesema kwamba, mashambulizi ya usiku wa kuamkia leo ya Urusi yamelenga mioundo mbinu ya nishati ya nchi hiyo…
Hali ya taharuki ilitanda mjini Uvira kuanzia Jumatatu mchana hadi Jumanne jioni, baada ya kundi la Wazalendo na askari wa FARDC kushambuliana. Aimedo, mkaazi wa Uvira, anasema Wazalendo waliwashutumu askari…