ACT: INEC haina mamlaka ya kuingilia mchakato wa Urais
Katika barua ambayo INEC imeiandikia ACT-Wazalendo, tume hiyo ya uchaguzi imerejea uamuzi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa uliotolewa jioni ya jana, ambao umesema mgombea urais wa chama…
Katika barua ambayo INEC imeiandikia ACT-Wazalendo, tume hiyo ya uchaguzi imerejea uamuzi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa uliotolewa jioni ya jana, ambao umesema mgombea urais wa chama…
Katika hotuba yake aliyoitoa kwa njia ya vidio, Zelensky alisema mazungumzo na wawakilishi wa mataifa hayo yatafanyika baadaye wiki hii. Rais huyo wa Ukraine pia ametoa wito wa Urusikuwekewa shinikizo…
Hapo jana, kundi linalojumuisha wanafamilia wa mateka hao pamoja na wafuasi wao, liliandaa maandamano makubwa mjini Tel Aviv, jiji kubwa la kibiashara la Israel. Kulingana na vyombo vya habari vya…
Trump amekuwa akishinikiza mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Putin na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky lakini akisisitiza kuwa Zelensky si mtakatifu pia katika mzozo huo. Trump asema atakutana…
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Iran, Ismail Baghaei, ameliambia shirika la habari la nchini humo kwamba, wahusika walibadilishana maoni katika mkutano huo wa Geneva. Lakini bila ya…
Mabingwa watetezi, Senegal, walitangulia kufunga kupitia kwa mchezaji Joseph Layousse, lakini dakika saba baadaye Moroko walijibu kupitia Sabir Bougrine. Kwa kuwa mechi ilibaki sare ya 1-1 hadi mwisho wa muda…
Licha ya mashambulizi makali ya Israel kwenye maeneo yanayodhibitiwa na Wahouthi nchini Yemen siku ya Jumapili yaliyosababisha vifo vya watu 10, wanamgambo hao wanaoungwa mkono na Iran wameendelea Jumatano kuvurumisha…
Sudan, inayofundishwa na kocha kutoka Ghana Kwesi Appiah, ilicheza nusu fainali yao ya tatu baada ya kushindwa kupenya katika hatua hiyo mwaka wa 2011 na 2018. Walijaribu kutumia faida ya…
Tamko hilo la Grandi akiwa mjini Kinshasa, limejiri wakati mivutano ikiendelea kati ya Kongo na Rwanda, licha ya kuwepo mpango wa amaniuliosimamiwa na Marekani ambao nchi hizo mbili jirani zilitia…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Ismail Baghai, ameiambia televisheni ya taifa kuwa pande hizo mbili zilibadilishana maoni wakati wa mkutano wa Geneva. Bila mafanikio, mzozo juu…