China: Madaktari wampandikiza binadamu mapafu ya nguruwe
Wanasema hilo linaoyesha uwezekano wa mafanikio katika upasuaji huo – hata kama majaribio makubwa zaidi bado yanahitajika. Kwa mujibu wa Taasisi ya Utafiti wa magonjwa ya njia ya hewa ya…
Wanasema hilo linaoyesha uwezekano wa mafanikio katika upasuaji huo – hata kama majaribio makubwa zaidi bado yanahitajika. Kwa mujibu wa Taasisi ya Utafiti wa magonjwa ya njia ya hewa ya…
Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi, askari waliamua kuchukua hatua dhidi ya kamera hiyo, na kuongeza kuwa wakati sita kati ya waliouawa walikuwa “magaidi,” jeshi “linajutia” madhara yoyote yaliyosababishwa kwa…
DIRA.BZ27.08.202527 Agosti 2025 Nchi za Magharibi ambazo ni washirika wakuu wa Kiev, zimekuwa zikijadili uwezekano wa kupelekwa kwa wanajeshi nchini Ukraine// Uhaba wa maji unaotokana na ongezeko la viwango vya…
SK2 / S02S27.08.202527 Agosti 2025 Tume huru ya uchaguzi nchini Tanzania (INEC) imekiandikia chama cha upinzani cha ACT Wazalendo kuwa hakitaweza kumteua mgombea wa urais kupitia chama hicho, Luhaga Mpina//…
DIRA.BZ27.08.202527 Agosti 2025 Jeshi la Israel lasema shambulizi la hospitali ya Nasser liliilenga kamera ya Hamas // Mazungumzo ya nyuklia yaliyofanyika Geneva yakamilika bila mafanikio // Na Morocco kuvaana na…
Maafisa wa Uganda hawajatoa maelezo ya kina kuhusu makubaliano hayo na Marekani ingawa walisema wanapendelea kupokea wahamiaji waliotoka barani Afrika na hawataki watu wenye rekodi za uhalifu. Uganda inapendekezwa kumpokea…
Ukiwa unapatikana kwenye kwenye mwambao wa Ziwa Tanganyika, mji wa Uvira ni mji wa pili kwa jimbo la Kivu Kusini na wenye umuhimu mkubwa wa kiuchumi si tu kwa Jamhuri…
Jeshi la Israel limefanya mashambulio katika mji wa Ukingo wa Magharibi wa Ramallah hivi leo na kuwajeruhi watu 14 na kufanya uharibifu kwenye mji huo. Hayo yameelezwa na shirika la…
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz ameituhumu Moscow kwamba inaendesha kile alichokiita mkakati wa kuchelewesha hatua za kufikia makubaliano ya amani na Ukraine. Katika mkutano na Waziri Mkuu wa Canada Mark…
Wajumbe wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa kundi la M23 wamerejea tena kwenye meza ya mazungumzo mjini Doha. Hayo yameelezwa na wajumbe hivi leo kufuatia…