Trump akutana na rais wa Korea Kusini Ikulu ya White House
Mada ya Korea Kaskazini ilikuwa miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa huku rais huyo wa Marekani akisema kuwa angependa kukutana na Kim Jong Un mwaka huu. Trump pia alisema kuwa ana mahusiano…
Mada ya Korea Kaskazini ilikuwa miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa huku rais huyo wa Marekani akisema kuwa angependa kukutana na Kim Jong Un mwaka huu. Trump pia alisema kuwa ana mahusiano…
Alisema anasikitika kwa kusaidia kujaza nchini Marekani dawa za kulevya aina ya kokeini, heroini na dawa zingine haramu na kwa kuchochea ghasia mbaya nchini Mexico. Aliomba radhi na kusema kuwa…
Aliongeza kuwa Wizara ya Fedha imeidhinisha bajeti ya dharura ya dola milioni 18.7 ili kuushughulikia mzozo huo. Rais Duma Boko alisema jeshi litasimamia usambazaji wa dawa za dharura, huku shehena…
Pamoja na Niger — ambayo pia iko chini ya utawala wa kijeshi — Mali na Burkina Faso zilijiondoa kwenye jumuiya ya kikanda ya ECOWAS Januari, baada ya kuunda Muungano wao…
Maafisa wa afya wa Gaza wamesema shambulizi hilo kwenye hospitali ya Nasser huko Khan Younis liliwauwa watu 20 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 80. Ni miongoni mwa mashambulizi mabaya zaidi…
SK2 / S02S26.08.202526 Agosti 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Viongozi wa kidini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewasilisha mpango wa kuanzisha mchakato shirikishi na wa kitaifa wa amani…
DIRA.BZ26.08.202526 Agosti 2025 Israel yaishambulia hospitali Gaza na kuuwa watu 20, wakiwemo waandishi habari na waokoaji // Rais Trump wa Marekani akutana na rais mpya wa Korea Kusini katika Ikulu…
DIRA.BZ26.08.202526 Agosti 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Israel iliishambulia kwa makombora mojawapo ya hospitali kuu katika Ukanda wa Gaza / Kenya inasherehekea baada ya kufanikiwa kutokomeza ujangili unaolenga faru…
Jamii ya Ogiek nchini Kenya inapigania kurejesha ardhi ya mababu zao katika msitu wa Mau. Jamii hiyo imeishi msituni humo kwa muda mrefu japo serikali ya Kenya imewalazimisha kuondoka.
Maafisa wa Palestina wamesema karibu watu 20 wakiwemo waandishi wa habari watano, waliuawa kwenye shambulizi la Israel kwenye Hospitali ya Nasser. Mkuu wa idara hiyo ya mawasiliano Burhanettin Duran ameandika…