25.08.2025 Matangazo ya Asubuhi
DIRA.BZ25.08.202525 Agosti 2025 Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Mbiu ya Mnyonge, Mbio ya Munyonge, Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa. Sikiliza…
DIRA.BZ25.08.202525 Agosti 2025 Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Mbiu ya Mnyonge, Mbio ya Munyonge, Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa. Sikiliza…
Israel yatuhumiwa kuwalenga wanahabari huko Gaza+++Warohingya wataka wahakikishiwe usalama kurudi kwao+++Hali ya kibinadamu Sudan yazorota kufuatia mashambulizi ya RSF
SK2 / S02S25.08.202525 Agosti 2025 Wanahabari kadhaa wauawa Gaza kufuatia mashambulizi ya Israel+++Jeshi la Urusi ladai kuteka kijiji kingine cha Ukraine kwenye jimbo la Dnipropetrovsk+++Tanzania- Dirisha la fomu za ubunge…
25.08.202525 Agosti 2025 Jamii ya Wasuba nchini Kenya ni mojawapo ya makabila ya asili yaliyo na historia ya kipekee na tamaduni tajiri, ingawa kwa sasa jamii hiyo inakabiliwa na changamoto…
DIRA.BZ25.08.202525 Agosti 2025 Mashambulizi ya Israel kwenye mji mkuu wa Yemen, Sanaa yauwa watu sita // Rais Zelensky wa Ukraine atoa wito wa mkutano na Rais Putin wa Urusi huku…
25.08.202525 Agosti 2025 Zanzibar inasifika kwa uwepo wa mashamba ya viungo ambapo wageni hujifunza kuhusu karafuu, mdalasini, vanila na viungo vyingine vinavyokifanya kisiwa hicho kuwa kitovu cha biashara ya viungo…
Wakati huo huo, kumeripotiwa pia mashambulizi katika maeneo ya mashariki na kaskazini mwa mji huo wa Gaza katika vitongoji vya Zeitoun, Shejaia na Sabra huku majengo kadhaa yakiripuliwa katika mji…
Lavrov amekemea hatua ya Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ya kuweka masharti na kulazimisha kukutana na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin, akisisitiza kuwa majaribio hayo yanalenga kuvuruga mchakato wa amani…
Ehimen Ejodame, msemaji wa Jeshi la Anga la Nigeria amesema mashambulizi hayo yalilenga majimbo manne ya Kumshe, Borno, Katsina na karibu na mpaka wa Cameroon ambayo yamewezesha pia kuokolewa kwa…
Khamenei ameyatoa matamshi hayo siku ya Jumapili katika msikiti mmoja mjini Tehran, akisisitiza kuwa baada ya mashambulizi ya Marekani na Israel, maafisa wa Marekani walikutana barani Ulaya ili kujadili serikali…