Rais wa Korea Kusini Lee Myung yuko Japan kwa ziara rasmi
Lee pia anatarajiwa kukutana na rais wa Marekani Donald Trump mjini Washington siku ya Jumatatu wiki Ijayo. Katika ziara yake ya kwanza rasmi Japan, Lee atakutana na Waziri Mkuu Shigeru…
Lee pia anatarajiwa kukutana na rais wa Marekani Donald Trump mjini Washington siku ya Jumatatu wiki Ijayo. Katika ziara yake ya kwanza rasmi Japan, Lee atakutana na Waziri Mkuu Shigeru…
Uganda Cranes wanaingia katika mechi hiyo wakiwa na matumaini makubwa baada ya kuongoza Kundi C na kutinga hatua ya mtoano ya CHAN kwa mara ya kwanza katika historia yao. Uganda…
Waendesha mashtaka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewasilisha maombi kutaka Joseph Kabila ahukumiwe adhabu ya kifo kwa makosa ya uhaini katika kesi inayomkabili mahakamani. Jenerali Lucien RenĂ© Likulia aliyemwakilisha…

23.08.202523 Agosti 2025 Watu 24 wauawa Gaza huku baa la njaa likihofiwa kuutanua zaidi mzozo wa kibinadamu. Rais wa Ukraine Volodymir Zelensky ameyataka mataifa ya Africa, Asia, Latin America, na…
23.08.202523 Agosti 2025 Shirika la tathimini ya chakula duniani IPC yatangaza uwepo wa baa la njaa Gaza. Waendesha mashitaka wa Kongo wataka Joseph Kabila ahukumiwe kifo kwa makosa ya uhaini.…
Taarifa hiyo imekuja baada ya mazungumzo ya simu kati yake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, wakishirikiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, David…
Zelensky pia ametoa wito kwa washirika wa Ukraine kuiwekea Urusi vikwazo vipya kama haitoonesha dhamira ya kweli ya kusitisha uvamizi wake Ukraine. Rais huyo wa Ukraine aliyekuwa akizungumza katika mkutano…
Hii ni baada ya ripoti ya tathmini ya Usalama wa upatikanaji wa Chakula, IPC, kutangaza baa la njaa katika ukanda huo. Radovan amesema ripoti hiyo inayoungwa mkono na Umoja wa…
Wanadiplomasia wa Iran wanatarajiwa kukutana na wenzao wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kwamazungumzo ya mpango wa nyuklia wa Tehran, wakati mataifa hayo yakizingatia kurejesha vikwazo dhidi ya nchi hiyo. Waziri…